SHUGHULI ZA KISWAHILI GREDI YA 3
MADA: KUSIKILIZA NA KUONGEA.
MADA NDOGO: KUTAMKA SAUTI ng pamoja.


Je, unajua majina ya wanyama hawa?
Wa kwanza huitwa ngiri.
Wa pili huitwa nguruwe.
Je, unaweza kutamka maneno ngiri na nguruwe?
Soma maneno haya:
- nguo
- ngeu
- ngoma
- upanga
- mlango
- ngazi
- funguo
- ngao
- ngozi
- nguzo.
FANYA ZOEZI HILI.1. Ukitaka kupanda juu ya nyumba utatumia____