SHUGHULI ZA KISWAHILI
JIBU KATIKA DAFTARI LAKO.
FASIHI: MSHALE WA MATUMAINI.
1. Mhusika mkuu katika Novela ya Mshale wa Matumaini anaitwaje?
2. Zahara ni nani katika novela hii?
3. Baba yake Zingo alikuwa akifanya kazi gani?
4. Elezea hali ya chakula kilichopikiwa wakimbizi kule njiani kulingana na Zingo. ..................................
5. Elezea hali ya maisha ya wakimbizi kule Gera kulingana na sura ya tano.
6. Rafiki aliyepatana na Zingo kule kambini Gera aliitwaje?
7. Kulingana na sura ya sita, ni ugonjwa gani uliomuua Zahara?