GRADE YA PILI SHUGHULI ZA KISWAHILI
SARUFI
MATUMIZI YA HUYO NA HAO.

Kijana huyo ana mpira.

Watoto hao walichezea mamba.
Huyo hutumiwa kuonyesha wanyama ,wadudu , au binadamu .walio mbali kidogo katika hali ya umoja .
Hao hutumiwa kuonyesha wanyama ,wadudu na binadamu walio mbali kidogo katika hali ya wingi.
Mifano : Kipepeo huyo anaruka vipepeo hao wanaruka
Kifaru huyo ni mnono vifaru hao ni wanono
Zoezi: Tumia huyo au hao
- Mtoto___ ni mzuri.