Welcome to your KISWAHILI 4
SHUGHULI ZA KISWAHILI GREDI YA 4VIHUSISHITazama picha hizi1. Juma anasoma kitabu akiwa wapi?2. Samaki yupo wapi?3. Tofaa liko wapi?4. Kijibwa kimekaa wapi?Tofaa liko mbele ya katoni nacho kijibwa kimekaa karibu na mama yake. Juma naye amekaa chini ya mti. Maneno mbele ya, karibu na, chini ya huitwa vihusishi.Sasa jibu maswali yafuatayo kwa kihusishi kinachofaa.1. Mgeni amesimama _________ ofisi akimngoja sekretari.
2. Mimi huketi _________ mwalimu wetu darasani.
3. Shule yetu iko ____________ jiji la Mombasa.
4. Mshukiwa alisimama _________ ya jaji kujibu mashtaka.
5. Paa liko ________ nyumba
6. Ukisimama _____________ barabara utagongwa na gari
7. Mimi hulala ______ ndugu yangu
8. Keti _______ mimi nikufundishe kushona.
9. Ukoko hupatikana _________ sufuria
Time's up
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Website
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
Δ