KISWAHILI DARASA LA 6
MASWALI YA MAJARIBIO.
Kutoka swali la 1-15, chagua jibu lililo bora zaidi kujalizia pengo.
Mwaka wa elfu mbili na.....1...... umekuwa mwaka wa mateso ....2.....Wakenya wengi. Virusi vya korona vinavyosababisha .......3...... ya ......4........ vimekuwa tisho kwa kila ....5...... . Shule zimefungwa na kuwaacha wanafunzi ....6.... . Biashara nyingi ....7..... zimeshindwa .......8...... . Watu wamepigwa .......9..... kazini na kampuni ....10...... kufunga. Wenye nyumba za ......11..... nao hawana huruma. Wanafurusha wateja kama kuku. Ole ......12....! Tutaenda wapi? Chakula balaa, na ......13..... si lishe bora, bora mkono .....14..... mdomoni. ..........15.........Tusaidie.
1.