KAZI YA ZIADA YA LIKIZO YA MWISHO WA MWAKA 2024
GREDI YA 1
SHUGHULI ZA KISWAHILI
KUSIKILIZA NA KUONGEA.Sikilizeni hadithi hii kwa makini wewe na mzazi wako au msaidizi.Mwambie Mzazi wako au Msaidizi akusaidie kujua maneno haya:
- hohehahe
- itabidi
- kuchinja
- kucha na kuche
- kivumbi
- kisu kimenolewa
- sie
- kusudia mabaya
- Mola.
Sasa jibu Maswali haya:1. Wanyama wanaozungumziwa katika hadithi ni nani?