SHUGHULI ZA KISWAHILI GREDI YA KWANZA
NYAKATI.
Nyakati ni wingi wa wakati .nyakati katika Kiswahili ni tano.nyakatihizi huwakilishwa na viambishi mbalika kama ifuatavvyo;
Wakati uliopita huwakiliswa na kiambishi li.
| UMOJA | WINGI |
| 1. Mimi nilisoma jana | Sisi tuli soma jana |
| 2. Mwalimu alikula embe jana | Walimu walikula maembe jana |
| 3. Mama alinunua samaki jana | Kina mama walinunua samaki jana |
Wakati uliopo (sasa)huakilishwa na kiambiswa na kiambishi na ;
| UMOJA | WINGI |
| 1. Maria anasoma kitabu | Akina Maria wanasoma vitabu |
| 2. Daka anacheza nje | Kina dada wanacheza nje |
| 3. Mtoto anacheka | Watoto wanacheka |
Sentensi zijazo ziko katika hali gani
Mfano;Simba alionekana hapa (wakati uliopita)
- Dereva aliyendesha gari ovyo amekamatwa na polisi.