SHUGHULI ZA KISWAHILI GREDI YA TATU.
NYUMBANI
Nyumbani ni mahali ambapo watu huishi. Nyumbani kuna vitu vingi sana kama:
- jikoni - pahali pa kupikia chakula
- sebuleni - chumba cha kuwapokelea wageni
- kinyemela - chumba cha ndani cha kulala
- bafu - chumba cha kuogea
- msalani - chumba cha kwenda haja
- sofa au kochi - kiti cha kukalia
- kandambili au malapa - viatu vya kuende bafu
- takia - mto unaowekwa kwenye sofa
- foronya - mfuko wa kuingiza takia
- rafu - sehemu ya kuweka vitabu.
JIBU MASWALI.
1. Chumba cha kupokelea wageni huitwa________