Welcome to your KISWAHILI 7..
KISWAHILI DARASA LA 7. MUHULA WA 2.VIUMBE WA KIKE NA KIUME.Huyu ni kuku wa kike. Kuku wa kike huitwa koo.Huyu ni kuku wa kiume. Kuku wa kiume huitwa jogoo. Jogoo pia huitwa jimbi au kikwara.Katika kusoma kinyume, pana kinyume cha jinsia ambacho huonesha kiumbe wa kike na kiume. Tazama mifano hii.Kike - kiumeKoo - jogootembe-poramke - mumedada - kakamama - bababibi - babubinti - binsiti - sayidinamalkia - mfalme.Kamilisha zoezi kwa kinyume cha jinsia kifaacho.1. Mwanamwali -
2. Sultan -
3. Amina -
4. Mtamba -
5. Mbuzijike -
6. Mavyaa -
7. Mjomba -
8. Wifi -
9. Bintiamu
10. Dachia -
Time's up
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Website
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
Δ