GRADE 3 KISW LITERACYJuly 8, 2020STD 6 C.R.EJuly 8, 2020 0 KISWAHILI 8.,. Welcome to your KISWAHILI 8.,. Name Class Phone KISWAHILI DARASA LA 8MADA: MAJINA YA WAFANYAKAZI MBALIMBALITazama kwa makini picha hii. Unaweza kuwatambua nani na nani?SOMA KIFUNGU HIKI.Katika mahakama kuna watu mbalimbali ambao hufanya kazi mbalimbali. Jaji au hakimu hutoa uamuzi wa kesi. Wakili hutetea mshtaki au mstakiwa. Pia kuna kiongozi wa mashtaka ambaye huyaongoza mashtaka yote. Karani wa korti huapisha watu na kuweka rekodi za mahakama. Iwapo mtu hajui lugha fulani, basi kuna mkalimani au mtapta ambaye hutafsiri lugha mahakamani. Msajili wa Mahakama huandikisha na kuhifadhi kesi zote mahakamani. Baada ya mahakama kumaliza kesi zake za siku topasi au mfagizi huingia na kuosha kila pahali. Je, unawajua wafanyakazi wengine gani?Tazama orodha hii ya wafanyakazi na utafute kazi wafanyazo. Mwashi mhasibu mwalishi mpishi yaya kijakazi/kitwana mnyapara mpakizi msusi mkunga tarishi Jibu Maswali haya.1. Mtu anayetumwa kupeleka ujumbe wa posa huitwaje_______ jumbe mshenga sheha None 2. Dereva wa garimoshi huitwaje? _________ kandawala serahangi Utingo None 3. Mtaalamu anayehusika na utunzaji na uwekaji wa hesabu za pesa huitwaje? Mhandisi Tarishi Mhasibu None 4. Mtu anayefanya kazi katika mashamba makubwa huitwaje?____ manamba mkadamu nokoa None 5. Kiongozi wa chombo chochote cha majini huitwaje?____ dereva nahodha mhazili None 6. Mtu anayepeleleza habari katika nchi ngeni huitwaje? jasusi mpelelezi kachero None 7. Mtu anayetengeza pombe kutoka kwa mnazi anaitwa______ tembo mgema mwalishaji None 8. Mtu anayefanya kazi ya kupakia na kupakua mizigo bandarini huitwa ____ mpangazi mpakui kuli None 9. Mtaalamu wa kutibu magonjwa mbalimbali huitwa____ tabibu muuguzi mhudumu None 10. Mtaalamu wa kutabiri mambo akitumia elimu ya nyota huitwaje? Mnajimu Mtafsiri mjimu None 11. Mtu anayetunza na kupanda farasi huitwaje?______ msusi msasi mzuka None 12. Kiongozi wa nyimbo za kwaya huitwaje? ngoi malenga mghani None 13. Mtu anayeuuza bidhaa rejareja huitwaje?____ mshitiri sonara mmachinga None 14. Kamilisha methali hii : Usimlaumu______ kaniki ndiyo rangi yake. dobi mkulima mvuvi None 15. Mfanyabiashara mwenya biashara kubwakubwa huitwaje? mjasiriamali tajiri bwanyenye None Time's up Wanto Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ