MUHULA WA PILI 2020
KISWAHILI
ISTIARI
Istiari ni tamathali ya lugha ambapo tunalinganisha mtu/kitu na kingine moja kwa moja pakiwa na maana fiche.
Kwaa mfano:
a) Baba ni simba -ni mkali
b) Juma ni panya - ni mnafiki
c) Esther ni hurulaini - ni mrembo sana
d) Simu ya baba ni nanga - ni nzito sana
e) Mkoba wangu wa shule ni unyoya - ni mwepesi sana.
ZOEZI
Elezea maana ya istiari zifuatazo:
1. Mzigo huu wako ni pamba -