Welcome to your KISWAHILI 7.
SOMO LA KISWAHILI DARASA LA 7 - MUHULA WA 2 2020.VITAWEVitawe ni maneno yenye maana zaidi ya moja;yaani neno moja lakini lina maana zaidi.Tazama picha hizi:
Maria amekaa kitini.
Huyu ni kaa
Nyumba ina paa jekundu
Huyu ni paa
2. Najua noma,kadi ya kuthibitisha mtu alikuwa kazini. Je, wajua noma gani tena?
3. Najua ulimi, sehemu refu ya moto. Je wajua ulimi gani tena?
4. Najua panda, sehemu ya uso. Je wajua panda gani tena?
5. Najua mji, kwenye majumba mengi marefu. Je, wajua mji gani tena?
6. Najua shuka, kipande cha nguo. Je, wajua shuka gani tena?
7. Najua kibao, ubao wa kukatia nyama. Je wajua kibao kingine kipi?
8. Najua kuendesha, kupeka gari. Je, wajua kuendesha gani tena?
9. Najua sahani, chombo cha kulia chakula. Je wajua sahani gani tena?
10. Najua ziwa, sehemu ya nchi yenye maji mengi. Je wajua ziwa gani tena?
Time's up
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Website
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
Δ