KAZI YA LIKIZO YA MWISHO WA MWAKA,2024.
SHUGHULI ZA KISWAHILI GREDI YA 3.
Hiki hapa chini ni kiungo cha video. Kibofye ili upakue video hiyo halafu uisikilize. Ukishindwa mwambie mzazi wako akusaidie kuipakua.
Mgaagaa Na Upwa -Mkulima Hodari Wa Mboga.
Mwambie mzazi au msaidizi wako akusaidie kujua maana ya maneno haya:
- kujikakamua
- riziki
- nakshi
- bustani
- nawiri
- chuma
- palilia
- mapato
- wateja
- tia bidii
- virutubishi
- mgaagaa
- upwa
- wali
Sasa jibu maswali haya.
1. Kamilisha msemo huu kama ulivyosikia. 'Mke ni ______