Welcome to your STD 6 KISWAHILI
KISWAHILI DARASA LA SITA.MASWALI YA MAZOEZI.JIBU MASWAHILI YOTE. Tumia tanakali za sauti kukamilishia sentensi.1. Mama alifunga mlango ______!
2. Mtu huanguka mchangani_____!
3. Ukirusha jiwe majini litaanguka______!
4. Shilingi ilianguka sakafuni_______!
5. Tunamwaga maji _____!
Kamilisha Vitendawili hivi:6. Kuku wangu hutagai mimbani______
7. Mama nieleke_______
8. Huku ng'o na kule ng'o ______
9. Ile hii hapa_____
10. Popoo mbili zavuka mto____
Kamilisha methali hizi.11. Mtoto umleavyo............
12. Akili ni nywele..........
13. Asiyefunzwa na mamaye.........
14. Asiyesikia la mkuu........
15. Mla ni mla leo............
Time's up
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Website
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
Δ