GREDI 5 MWISHO WA MWAKA 2024…..KISWAHILISeptember 16, 2020KISWAHILI 6September 16, 2020 0 KISWAHILI 3.. Welcome to your KISWAHILI 3.. Name Class Phone Number SHUGHULI ZA KISWAHILI, LITERACY, GREDI YA 3.MADA: KUSIKILIZA NA KUONGEAMADA NDOGO:KUSOMA Soma hadithi hii: JOGOO NA MTOTO MTUNDU.Katika kijiji ka Kamwanya, paliishi familia ya mzee Babu. Mzee babu alikuwa na mke na mtoto mmoja mvulana. Mtoto huyu alikuwa kichwa ngumu. Hakupenda kuambiwa. Alifanya aliotaka. Kwao kulikuwa na kuku wengi. Kulikuwa na jimbi mmoja aliyekuwa hatari kwa kufukuza watu hasa watoto. Basi Mzee Babu alimshauri Kijana wake, Masikio, asimchezee jimbi huyu kwa sababu angemjeruhi. Masikio hakusikia, aliweka masikio yake nta. Siku moja aliwapelekea kuku mahindi bila kuambiwa afanye hivyo. Alipowafungulia kuku tu, yule jogoo alimrukia Masikio na kumuinua juu juu. Alimpiganisha chini kisha akamuinua tena! Ilikuwa balaa. Masikio aliona cha mtema kuni. Kama si Mzee Babu kumuokoa, angeuawa na huyo kuku.MASWALI.1. Familia ya Mzee Babu ilikuwa ya watu wangapi? 2. Mzee Babu na familia yake waliishi kijiji kilichoitwa 3. Mtoto wa Mzee Babu alikuwa kichwa ngumu. Hivi ni kusema...... Kichwa chake hakiwezi pasuka hata kikipigwa na mawe Kichwa chake hakikumea nywele Hakutaka kufanya alivyoambiwa None 4. Kijana wa Mzee Babu aliitwa 5. Jina lingine la jogoo katika habari hii ni 6. Unafikiri mama yake kijana huyo wa Mzee Babu aliitwaje? Wanjiru Bi. Babu Bi. Tajiri None 7. Nani alimwambia Masikio apelekee kuku mahindi? Hakuna Baba yake Mama yake None 8. Wakati Masikio alipelekea kuku mahindi, yule jogoo ___ alifurahi sana alimpiga vibaya alikula mahindi yote None 9. Ni methali gani tunaweza kumwambia Masikio? Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu Akiba haiozi jogoo la shamba haliwiki mjini None 10. Hadithi hii inatunza Kutowapa jogoo hatari mahindi Kuwa vichwa vigumu zaidi Ni vyema kufanya tuambiwavyo na wazazi. None Time's up Wanto Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ