KISWAHILI DARASA LA 5. MUHULA WA PILI.
VIUNGO VYA NJE VYA MWILI.


Hivi ni viungo vya nje vya mwili wa binadamu. Viungo hivi hufanya kazi mbalimbali. Kila kiungo kina kazi yake. Aidha kila kiungo husaidiana na vingine katika kufanya kazi za mwili.
- Kipaji - sehemu ya mbele ya uso
- kisogo - sehemu ya nyuma ya kichwa.
- nyusi - nywele zilizopo juu ya macho
- kope - nywele zinazozuia macho kuingia vumbi.
- masharubu - nywele zinazoota katikati ya pua na mdomo
- ndevu - nywele zinazoota kidevuni
- sharafa - nywele zinazoota mashavuni,
- mboni - sehemu ya jicho inayotumiwa kuonea.
- kisigino - sehemu ya nyuma ya wayo.
MASWALI
1. Sehemu ya mkono panapovaliwa saa huitwa ______