KISWAHILI GREDI YA 2 MWISHO WA MWAKA 2024

KISWAHILI DARASA LA 6
April 11, 2021
KISWAHILI GREDI YA 1 MWISHO WA MWAKA 2024
April 13, 2021

KISWAHILI GREDI YA 2 MWISHO WA MWAKA 2024

Welcome to your KISWAHILI GREDI YA 2 MWISHO WA MWAKA 2024

KISWAHILI GREDI YA 2

KAZI YA ZIADA YA LIKIZO YA MWISHO WA MWAKA, 2024.

SHUGHULI ZA KISWAHILI

FAMILIA.
Sikiliza kanda hii ya video kwa makini.
[/video]

Jibu Maswali haya:
1. Mzazi wa kiume aliyekuzaa huitwaje?

2. Mzazi wa kike aliyekuzaa huitwaje?

3. Ndugu yako wa kiume huitwaje?

4. Ndugu yako wa kike huitwaje?

5. Mzazi wa kike ambaye anaweza kukulea lakini hajakuzaa huitwa_____

6. Mzazi wa kiume ambaye anaweza kukulea lakini hajakuzaa huitwa____

7. Mama wa mama huitwa bibi au _______

8. Baba wa baba yako huitwa _____

9. Mtoto wa kwanza kuzaliwa huitwa ____

10. Mtoto wa mwisho kuzaliwa huitwa_____

Chagua jibu sahihi kujibiamaswali haya:
11. Hodi ? -

12. Shikamoo -

13. Pole -

14. __________ kwa kunipa chakula.

15.  ________ kwa kuanguka.

16. Karibu ndani. _______

Panga maneno haya yaunde sentensi nzuri.
17. anacheka shangazi

18. Mtoto sana analia

19. anachora nyumba binamu

20. anaandika halati baraua

Tumia sauti hizi zenye ving'ong'o kujazia mapengo ( ng'o, ng'e, ng'a)
21. ____ mbo

22. ____mbe

23. Se____nge

24. ____a

25. Ng'a____

Jaza nafasi ukitumia huyo au hao
26. Mwalimu ____ anafundisha.

27. Kijana ______ anapiga simu

28. Wasichana ____ waliimba vizuri.

29. Dobi  ____ anajua kufua

30. Watoto _______ ni wazuri.

Andika kwa sauti kubwa.
31. b -

32. d -

33. gh

34. dh -

35.  r -

Kamilisha sentensi:
36. Mawingu huleta _____

37. Mwezi hutumulikia wakati wa _____

38. Jua huwaka___

39. Rangi ya damu ni ____

40. Rangi ya magari ya shule ni ______

Clapping Gif Club Penguin Sticker - Clapping Gif Club ...HEKO ! UMEMALIZA KAZI YA LIVU YA KISWAHILI.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WeCreativez WhatsApp Support
One of our Teachers is here. Ask for help
Hi, how can I help